Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

http://swahilimedias.com/wp-content/uploads/powerpress/logo3000L.png

Vipindi vya redio SGLM vipo hapo juu ya kuwa wapa habari za nyumbani.

0 Likes     0 Followers     1 Subscribers

Sign up / Log in to like, follow, recommend and subscribe!

Website
http://swahilimedias.com
Description
Kama unataka kupata habari za nyumbani na wewe uliye nyumbani unataka kujuwa hali ya watu wanao ishi ulaya kutoika africa sehemu maziwa makuu
Language
🇫🇷 French
last modified
2019-01-11 08:13
last episode published
2017-11-28 00:28
publication frequency
3.77 days
Contributors
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author  
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS owner  
Explicit
false
Number of Episodes
127
Rss-Feeds
Detail page
Categories
Technology Society & Culture Personal Journals Performing Arts Arts Tech News

Recommendations


Episodes

Date Thumb Title & Description Contributors
28.11.2017

Swahili media| Ingoma z’iwacu by B FACE feat.NKUND’ABANTU|Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
22.11.2017

Swahili media| Remember my name by LGT|Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya amba...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
30.10.2017

Swahilimedia│ Nzokudigadiga by Lolilo│Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara nyingine tena mwanamuziki nguli LIZZO ameachia kazi nyingine baada ya kujijengea headlines zingine kwenye video ya wimbo wake wa KABIRIRBIRI. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kupakua hii NZOKUDIGADIGA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
27.10.2017

Kaba 5 mwana mziki wa miondoko ya bolingo kutoka Tanzania hakitua juza kuusu mafuriko Dar-es salam - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mafuriko mchini Tanzania hapo Dar es salam. Yaani leo ni Bala.Bado swahilimedias ajipata Habari ya kuusu kifo cha mtu yeyote, lakini watu wame poteza vitu nyingi mali na nyumba zime bomoka.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
22.10.2017

Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
22.10.2017

Swahilimedia │Happy Famba – My Time│Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

HAPPTY FAMBA ameachia kibao chake kingine baada ya kujijengea headlines kubwa kwa kazi yake ya WHY ME? Sasa amerudi kwa kishindo kingine ambacho kimepewa jina la MY TIME. Kuwa mtu wa kwanza kukipakua na kukisikiliza bila shida yeyote. Usisahau kushare ...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
22.10.2017

Swahilimedia │Wangu by Natacha ft Shebbah │download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

NATACHA LA NAMBA baada ya kujijengea headlines kubwa sana kwa vibao vyake ambavyo vilimtambulisha zaidi ndani na nje ya nchi yake kuanzia UNANIONGOPEA,SHIKILIA,GERAGEZA.sasa ameamua kuchukuwa muda mwingine na kubadirisha mazingira tena kwa kujirusha KA...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
8.10.2017

Swahilimedia │ Pamy Queen- Sinarinzi │Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kuwa wakwanza kujipatia wimbo mpa wa kwake mwanamuziki wa kike anayejulikana kama PAMY QUEEN,mwanadada ambae kwa sasa anaonekana kuja kivingine kwenye industry nzima ya BUJA FLEVA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu. Ikiwa we ni msanii na un...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
4.09.2017

M Lee- East african girl l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Burundian artist known as M LEE drops his new audio titled EAST AFRICAN GIRL produced by CAPTAIN BLUE in CAPTAIN SOUND RECORDS. Be the first to download and listen to it and keep sharing with others.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
3.09.2017

Gaga Blue amtolea povu Zacky Classic - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BUJUMBURA RAPPER GAGA BLUE anayetamba kwa kibao cha IVO IVO alichomshirikisha Rapper kutoka TANZANIA YOUNG D amefunguka na kusema ukweli uliokuwa umejificha nyuma ya kibao hicho ukiambatanisha na...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
15.08.2017

Msani Kaba 5 kutoka Dar ana tueleza kwa nini muziki wa BOLINGO ume shuka chini mchini TZ I - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

SGLM ime fanya interview na msanii kutoka DAR es salam wa mziki wa BOLINGO: Mr. KABA 5. Msanii huyo ana sema kwamba medias zina sahahu au hazi promoti mziki wa Bolingo. Yaani zina promoti sana style ya Bongo Fleva kuliko style zingine  .
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
15.08.2017

Akes Don – Urabaruta (Official Audio) - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Burundian artist known as AKES DON drops his new audio titled URABARUTA produced by SOPRANO from AFRICAN TOUCH MUZIK. Be the first to listen to and download it here below. stay in contact with us if you want your music to be uploaded onto our website. ...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
9.07.2017

New Audio | Natamani BY M-Lee| Download Mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Burundian young artist settled in south Africa widely known as M LEE releases his new song titled NATAMANI Produced in CAPTAIN SOUND RECORDS by CAPTAIN BLUE. be the first to listen to and download it. Remember to share with others for more news
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
9.07.2017

Chris Biz – Cheerleader Cover( Prod .Master Muzik) | download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Be the first to listen to and download CHEERLAEDER, a new song released by CHRIS BIZ produby MASTER-MUZIK. Keep sharing with others for more update news
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
9.07.2017

KONZI BY BIG FIZZO | Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Burundian celebrated musician widely known as BIG FIZZO drops his new song titled KONZI produced by KOLLY THE MAGIC in INGO MUSIC PRODUCTION Be the first to listen and download it. Remember to share with others
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
9.07.2017

ONLY YOU BY PDK DADDLUZ FEAT.MARIA ZULU| Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki kutoka nchini burundi PDK DADDLUZ mwenye makaazi yake nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mpya akimshirikisha mwanamuziki wa kike raia wa Afrika kusini anayetambulika kwa jina la MARIA ZULU. Wimbo huo umepewa jina la ONLY YOU ukiwa ume...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
6.07.2017

My Gatima by Kirikou feat. Masterland | download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kuna vitu vingine kuamini kwenye maisha inakuwaa ngumu sana lakini wakati mwingine unakuwa huna budi kuamini unapoaminishwa. sasa hii ni moja ambayo inakufanya uelewe kuwa ukweli unakuwa wazi mara nyingi kutokana na kile ambacho kinakupa radha unazozit...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.06.2017

DOWNLOAD I NDOA YANGU BY MSAMARIA DANIELO I NEW AUDIO - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi anaetambulika kwa jina la MSAMARIA DANIELO akiwa ni mmoja kati ya Wakali kutoka label nzima ya WAKAVU ameachia wimbo wake mpya baada ya kujipatia tunzo kubwa la IZERE AWARDS na kujijengea headlines kubw...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
16.06.2017

Alvin Smith ft Dolphin Dankala- MY INSPIRATION - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

DOWNLOAD WIMBO HUHU NA USIKOSE KU SHARE.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
14.06.2017

Rama K FT T.Max- Many things - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Usikose ku share wimbo huhu.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
12.05.2017

SISOMEKI REMIX BY B FACE [Download] MP3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kuwa wakwanza kudownload na kusikiliza SISOMEKI REMIX BY B FACE.Wimbo ambao umetengenezwa na maPRODUCERS watatu kutoka nchini Tanzania wakiwa ni Mr T TOUCH,ABBAH, na Mr VS.ni kazi ambayo siyo yakuchezea kabisa ukilinganisha na zile ambazo tumezoea. Usi...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
2.05.2017

Birantesa by Silencieux DI [Download] mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na Download wimbo mpya BIRANTESA wa kwake SILENCIEUX DI
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
25.02.2017

Abarundikazi by Natacha [ download mp3] - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Baada ya kujijengea jina na umaarufu mkubwa kwa kazi yake iliyomtambulisha nyumbani na kimataifa pia SHIKILIA.Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la NATACHA LA NAMBA au LA BABAMBA kama anavyopenda kujiita,ameachia wimbo wake mpya ...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
15.02.2017

Sikiliza jinsi gani baadhi ya Wasanii kutoka Burundi walivyosherekea siku kuu ya wapendanao - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Jana tarehe kumi na nne mwezi februari dipo ulimwengu mzima ulisherekea siku kuu ya wapendanao. kutepitia tembea tembea zetu tulikutana na baadahi ya wasanii kwenye show mbali mbali ambazo zilikuwa zimeandaliwa. Sherehe hiyo inayoonekana kuadimishawa s...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
13.02.2017

Natacha atoboa siri ya mpango wake wa kuachia wimbo mpya baada ya kuwasili uwanja wa ndege - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayejulikana kwa jina la NATACHA au LA NAMBA kama anavyojiita ametoboa siri yake ya mpango wakuachia wimbo wake mpya baada ya kuwasiri uwanja wa ndege wa BUJUMBURA. Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege hapo jana k...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
8.02.2017

My Ferrari by Wanda Boy Ze Hero [download] mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki Wanda BOY ZE HERO mwenye makaazi yake Nchini AFRIKA KUSINI ameachia wimbo wake uliopewa jina la MY FERRARI. Sikiliza na download wimbo huo hapa.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
4.02.2017

Nyemerera by Black Momo (Download)mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara yake ya kwanza mwanamuziki BLACK MOMO ameachia wimbo wake mpya uliopewa jina la NYEMERERA chini ya productions za MASTER-MUZIK RECORDS kwa mkono wake LIL EVRY PRO. Sikiliza na download wimbo huo hapa bila chenga zozote. usisahau kushare na wen...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
1.02.2017

Choux Choux by King Moses ft. Akes Don (download)mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara yake nyingine,KING MOSES akimshirikisha AKES DON wameachia kazi yao mpya iliopewa jina la CHOUX CHOUX.Kazi ya wawili hao imetengenezewa chini ya studio za AFRICAN TOUCH MUSIC kwa mkono wake SOPRANO ON THE BEAT. Sikiliza wimbo huo na download b...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
30.01.2017

Tuko nao by 3DH (download) mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara nyingine wakiwa pamoja,Vijana kutoka kundi la 3DH wameachia wimbo mwingine amabao umewakusanya kwa pamoja. Wimbo huo umepewa jila la TUKO NAO ambao umetengwa kwenye mitindi ya RAP. Sikiliza na download wimbo huo hapa chini.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.01.2017

Ukimuona by 2 Minutes YEYE (download) mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la 2MINUTES YEYE mwenye makazi yake SOUTH AFRICA amaeachia wimbo wake mpya uliobatizwa jina la UKIMUONA ambao umepigwa kwenye miondoko ya zouk taratibu. Sikiliza na download wimbo huo hapa. Ikiwa we ni msanii unahitaji...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.01.2017

Today Kwetu na SWAIBA FOR REAL(Exclusive Interview) - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza kipindi TODAY KWETU ambacho kimekukutanisha na MWANAMUZIKI anaetambulika kwa jina la SWAIBA FOR REAL kwenye exclusive Interview tuliofanya nae.Ikiwa na wewe pia ni mwanamuziki unataka kutangaza kazi zako usikose kuwasiliana na sisi kwenda namb...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.01.2017

Nakupenda by No Noma (download) mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki anaetambulika kwa jina la NO NOMA ameachia wimbo wake unaotambulika kwa jina la NAKUPENDA. sikiliza na download wimbo huo hapa. Ikiwa we ni msanii unataka kutangaza kazi zako wasiliana na sisi kwenda nambari +257 75 49 72 58 (whatsApp).
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.01.2017

So dope by 3Magic (download)mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Vijana kutoka kundi nzima la 3MAGIC wameachia wimbo wao mpya ambao umepewa jina la SO DOPE.Sikiliza na download wimbo huo hapa.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
29.01.2017

Ukimuona by 2 minutes yeye(download) mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki anaetambulika kwa jina la 2 MINUTES au YEYE kama anavyojiita amaeachia ngoma yake mpya inayobeba jina la UKIMUONA. Sikiliza na download wimbo huo hapa chini bila chenga zozote. Ikiwa we ni msanii unataka kazi zako zipite hapa wasiliana na s...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
24.01.2017

Interview Na Mwimbaji Wa Gospel Innocent Uwimana - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kutoka hapo Africa Kusini kwenye studio ya Swahili grands lacs medias(swahilimedias), sikiliza interview ya msanii wa injili Innoncent UWIMANA.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
19.01.2017

Ahadi ya NATACHA kuwakilisha Burundi SUISSE - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetamba kwa kibao chake SHIKILIA ambacho ni gumzo kila kona ya nchi,anayetambulika kwa jina majina kadha NATACHA NOMA,LA NAMBA LABAMBA,bila kusahau LA BURUNDAISE kama wanavyomuita,ameweka wazi ahadi kubwa kwa kile a...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
17.01.2017

My only one by Jeiclos Brayden I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara yake ya kwanza JEICLOS ama Braden ameweza kuachia wimbo wake mpya uliobatizwa jina la MY ONLY ONE. Wimbo ambao uko kwenye miondoko ya zouk ukiwa umetengenezewa chini ya studios za Mo Music kwa mkono wake Zacky Classic. Sikiliza na download wim...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
16.01.2017

Maisha yangu by King Moses ft. Thity Love & B Face I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kwa mara nyingine mwanamuziki anaetambulika kwa jina la KING MOSES ameweza kuachia wimbo mpya aliobatiza jina la MAISHA YANGU huku akiwashirikisha THITY LOVE NA B FACE. Sikiliza na download wimbo huo hapa.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
12.01.2017

One Love by King Moses I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download One love,wimbo mpya kutoka kwake King Moses
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
9.01.2017

Turi bamwe by King Moses I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download wimbo mpya TURI BAMWE kutoka kwake King Moses.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
8.01.2017

Masterland auvisha muziki wa Buja fleva taji mpya. - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la Masterland ameuvisha taji mpya muziki wa Buja fleva masaa machache tu baada ya kuachia wimbo wake mpya ambao umeambatana na video kwa pamoja. Baada ya kuwa amewaahidi mashabiki na wanaofuatil...
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
6.01.2017

Narashitse by Digital Band I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

sikiliza na download NARASHITSE kutoka kwao Digital Band
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
20.12.2016

Your vodo by best life l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Hawa washikaji hatari sana kwa hii mitindo,ebu sikiliza hii moja hapa chini ujue nini kinamaanishwa ndani.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
19.12.2016

I chose you by King Moses l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Tayari ngoma imeshaachiwa.waweza kuipakua na kuisikiliza hapa hapa.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
13.12.2016

Nataka by Maru & B Dan l new audio l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

kwa muda mrefu wakijiandaa,sasa wameamua kuachia jiwe mpya vijana wawili kutoka KUNDI nzima ya WAKAVU.Wimbo mzima ukiwa umebatizwa jina la NATAKA kutoka kwao MARU na B Dan. Sikiliza wimbo huo na kuupakua bila chenga zozote.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
13.12.2016

Bottles up by Weusi l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download wimbo mpya,BOTTLES UP kutoka kwao WEUSI.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
10.12.2016

Yimuhe by Dj Bain’ Ten l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Kuwa wa kwanza kusikiliza na kujipakulia YIMUHE, wimbo mpya kutoka kwake DJ BAIN’ TEN.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
8.12.2016

Moyo wangu by Kingorongoro ft. Ashley Diva l Download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download MOYO WANGU kutoka kwake Kingorongoro akimshirikisha Ashley Diva.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
7.12.2016

Aline by King Moses l download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download Aline wimbo kutoka kwake King Moses.
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author
5.12.2016

Kamwambie by Swahiba I download mp3 - Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Sikiliza na download KAMWAMBIE kutoka kwake SWAHIBA
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS author