Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi.

0 Likes     0 Followers     1 Subscribers

Sign up / Log in to like, follow, recommend and subscribe!

Website
http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn3_kis-4106-xml-mrss
Description
Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi.
Language
🇰🇪 Swahili
last modified
2019-01-11 08:12
last episode published
2009-03-18 14:56
publication frequency
0.04 days
Contributors
DW.COM | Deutsche Welle author   owner  
Explicit
false
Number of Episodes
26
Rss-Feeds
Detail page
Categories
Education K-12 Higher Education Language Courses

Recommendations


Episodes

Date Thumb Title & Description Contributors
18.03.2009

Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
DW.COM | Deutsche Welle author
18.03.2009

Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo

Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi
DW.COM | Deutsche Welle author
18.03.2009

Somo 24 – Wafu hawafi milele

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
DW.COM | Deutsche Welle author
18.03.2009

Somo 23 – Hospitali mashuhuri Charité

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)

Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 21 – Kila kitu kitakuwa ghali sana

Andreas anawahoji watu mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Wakati ujao (future tense)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 20 – Kabla ya kujengwa ukuta...

Dr. Thürmann anasimulia hadithi kutoka Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia als au bevor
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 19 – Vizuri (nimefurahi) umefika Berlin

Andreas anampigia simu Dr.Thürmamm... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia dass
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 18 – Bahnhof Zoo (kituo cha treni)

Andreas na Ex wanawasili Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi (subordinate clauses)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 17 – Bado ningali nina sanduku langu Berlin

Mkusanyo wa sauti za watu wa Berlin... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 16 – Lakini leo mambo ni tofauti

Andreas na Ex wanafanya safari ndefu... Muhtasari wa sarufi: Viunganishi (conjunctions)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 15 – Usiyeonekana na uliyo mjuvi

Kurudi kwa mtu umjuaye ... Muhtasari wa sarufi: Vivumishi vya sifa
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 14 – Hapo wakamkumbuka Frederick

Mshairi miongoni mwa panya – Frau Berger anasimulia hadithi... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo visivyo vya kawaida
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 13 – Je, gari yako umeiegesha wapi?

Mgeni wa hoteli akutana na matatizo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno katika sentensi kuu
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 12 – Inampasa mtu mmoja aliseme hilo neno la kichawi...

Ex asiachiliwe kujua kila kitu... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo vya utaratibu
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 11 – Alimwaga njegere

Ex anawazuru Heinzelmännchen.. Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita (imperfect tense) wa vitendo vya kawaida
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 10 – Ningependa kuagiza chumba mapema

Wageni wapendao makuu: Mbwa lazima waingie naye hoteli... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vya utaratibu
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 09 – Nilimwimbia wimbo

Kwa nini Ex ameondoka? Dr.Thürmann anajaribu kutoa maelezo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 08 – Sikusikia tena kutoka kwake

Hakuna habari zozote kutoka kwa Ex... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu kwa kutumia haben na sein
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 07 – Tafadhali nipe hizo katalogi

Ziara ya mji wa Aachen... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya hali ya kuamuru (imperative)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 06 – Je, haijui siku ya kuzaliwa kwake?

Kila nchi ina desturi zake – Kusherehekea siku ya kuzaliwa nchini Uturuki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vyenye uhusika wa accusative na dative
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 05 – Hebu mimi niwagawie watu vinywaji

Andreas anasherehekea siki yake ya kuzaliwa pamoja na marafiki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya aina za vidhihirishi
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 04 – Je, unayo ramani ya mji?

Hanimuni (honeymoon) mjini Aachen...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya majina (nomino) na vijineno
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 03 – Utanichukua na mimi?

Safari ya kwenda Brussels – na tukio lisilopendeza...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo visivyo vya kawaida (irregular verbs)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 02 – Jina langu ni Ex

Je, umekosa Sehemu ya 1 na 2? Humu wahusika walikuwa...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya wakati uliopo (present tense)
DW.COM | Deutsche Welle author
17.03.2009

Somo 01 – Muziki huo ni supa!

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo maarufu...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya njia za kusikiliza Kijerumani
DW.COM | Deutsche Welle author