Noa Bongo – Siasa na Jamii

Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika

0 Likes     0 Followers     1 Subscribers

Sign up / Log in to like, follow, recommend and subscribe!

Website
http://www.dw.com/kiswahili/?maca=kis-podcast_lbe_kis_politik-gesellschaft-6457-xml-mrss
Description
Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika
Language
πŸ‡°πŸ‡ͺ Swahili
last modified
2019-03-26 21:12
last episode published
2013-08-14 07:46
publication frequency
51.12 days
Contributors
DW.COM | Deutsche Welle author   owner  
Explicit
false
Number of Episodes
18
Rss-Feeds
Detail page
Categories
Society & Culture History News & Politics

Recommendations


Episodes

Date Thumb Title & Description Contributors
14.08.2013

Mizozo na Utatuzi - Palipo na Wazee

Hata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu.
DW.COM | Deutsche Welle author
12.08.2013

Nyuma ya Maikrofoni - Vyombo vya Habari

Je, umewahi kujiuliza vipindi uvipendavyo vya redio au televisheni vinatengenezwa vipi? Sasa Noa Bongo inakupa fursa ya kufahamu vyema yote yanayotokea kabla ya kutazama televisheni au kusikiliza vipindi katika redio.
DW.COM | Deutsche Welle author
6.08.2013

Kila Mmoja ni Tofauti - Heshima kwa Makundi ya Wachache

Louis anatembea kwa kiti cha magurudumu, Junior ni shoga, naye John ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi. Watu hawa watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa.
DW.COM | Deutsche Welle author
6.08.2013

Imani Imesalitiwa – Hadithi ya Udhalilishaji wa Kijinsia Barani Afrika

Dhulma za kimapenzi ni tatizo kubwa kote barani Afrika. Nuru, Pato na Allan ni waathiriwa wa visa vya unyanyasaji wa kimapenzi. Vijana hao watatu wanakabilianaje na tatizo hili maishani? Msaada wanapata wapi?
DW.COM | Deutsche Welle author
7.04.2011

Jumuiya za kiraia – Kipindi 1 – Mradi wa kandanda wa shirika lisilo la kiserikali la Mysa

Katika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya mashirika ya kijamii na kupata nafasi ya kuijua klabu kubwa ya kandanda iliyoko katika moja ya mitaa mikubwa kabisa ya mabanda duniani huko nchini Kenya.
DW.COM | Deutsche Welle author
6.04.2011

Ushiriki katika siasa – Kipindi 10 – Muda wa kuanza

Ronnie ataichezea timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 16. Kwaya ya Betty haijachaguliwa kuimba mbele ya rais. Eveline ameingia katika ukumbi wa jiji akiwa diwani mpya wa Mlimani. Je ni kitu gani kilicho mbele yao?
DW.COM | Deutsche Welle author
6.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 9 – Mshangao kwa kila mtu

Eveline, akiwa na umri wa miaka 19 tu ameshinda kiti cha uwakilishi na hii ni juhudi pamoja na uaminifu. Baba yake ambaye alipigwa risasi, bado amelazwa hospitali. Katika kipindi hiki kuna mshangao kwa kila mtu.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 8 – Haki yangu ya kuchagua

Eveline amepokea simu kuwa baba yake amepigwa risasi. Je hilo ni tukio la kawaida la kihalifu au ni kitisho dhidi ya kampeni zake? Hicho ndicho tutakachotaka kukifahamu wakati wakaazi wa mlimani wanapomchagua diwani wao.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 7 - Tushikamane

Katika kipindi hiki tunamfuatilia Ronnie na timu yake ya soka pia Betty na kundi lake la kwaya. Je timu na kundi hilo litaendelea kuwa imara au kusambaratika? Eveline ameahidi kumtembelea mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 6 – Sheria za mchezo

Tumeona jinsi vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia kampeni za Eveline. Nafasi ya nahodha wa timu imechukuliwa na Ronnie. Mdogo wao Betty anapambana kuliunganisha kundi lake la kwaya. Sasa tutajifunza sheria za mchezo.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 5 – Ukweli au udanganyifu

Tutagundua ukweli na udanganyifu. Eveline ambaye ni mbunge amekamatwa kwa rushwa. Betty amepambana na vita vigumu kuwania uongozi wa kundi la kwaya na kaka yao Ronnie ameshauriwa na baba yake juu ya mafunzo yake ya soka.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 4 - Haiuzwi

Eveline na wenziwe wanafanya baadhi ya kazi za kijamii wakiungwa mkono na wenyeji. Lakini mbunge wa eneo hilo anamkataa kwa sababu ni kijana mdogo mno kwa hiyo hana nafasi. Kipindi hiki kitatufahamisha kile kisichouzwa.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 3 – Safari ndefu

Katika kipindi hiki tutakwenda safari, lakini sio kutembelea mbuga za wanyama barani Afrika , bali ni kufuatilia safari ya kisiasa ya Eveline. Safari yake inaanzia nyumbani kwao katika familia ya Mapito.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 2 –Ndoto yangu

Huko shuleni Betty anatangaza kuwa anataka kuanzisha kundi la kwaya. Samuel anatangazwa kuwa nahodha wa timu yake ya soka. Eveline anamwambia baba yake kuwa anataka kuwa mwanasiasa mahiri.
DW.COM | Deutsche Welle author
5.04.2011

Ushiriki katika siasa - Kipindi 1 – Viongozi huandaliwa sio kuzaliwa

Katika mfululizo wa vipindi hivi, tunakutana na familia ya Mapito. Afisa wa polisi aliyefiwa na mkewe, ana watoto 3. Eveline amemaliza sekondari, Ronnie ana kipaji cha soka na Betty ana ndoto ya kuwa muimbaji.
DW.COM | Deutsche Welle author
29.03.2011

Watu wanaojali – Kipindi 11 – Afisa wa Maendeleo

Magdalene Mhina kutoka Tanzania anatukamilishia mfululizo wa vipindi vyetu anapotuelezea kuhusu kazi yake ya maendeleo kwa kuwahimiza wanawake kwamba hawajachelewa kusoma. Tutege sikio!
DW.COM | Deutsche Welle author
29.03.2011

Watu wanaojali – Kipindi 10 – Yatima kutokana na Ukimwi

Akiwa yatima na mwenye mzigo mzito mabegani, David amedhamiria kujikwamua kutokana na janga lililomsibu pamoja na familia yake. Ungana naye katika jitihada zake!
DW.COM | Deutsche Welle author
29.03.2011

Watu wanaojali – Kipindi 09 – Muhudumu wa Afya

Kazi ya jamii inahitaji kujitolea. Tusikilize hadithi kamili kutoka kwa Anita Yawasese Varney kutoka Sierra Leone.
DW.COM | Deutsche Welle author